Tuesday 23 February 2016

Dimba la Arsenal na Barcelona, Juventus na Bayern Munich ligi kuu ya UEFA


Hatimaye siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na ghamu na wapenzi wa soka wanaofuatilia ligi kuu ya vilabu bingwa ya UEFA sasa imewadia.
Timu ya Arsenal inayowakilisha Uingereza itawakaribisha vigogo wa Uhispania Barcelona kupambana katika mechi ya kusisimua kwenye uwanja wa Emirates.
Kwingineko wawakilishi wa Ujerumani Bayern Munich nao watasafiri ugenini kwenda kukabiliana na Juventus ya Italia.
Ratiba kamili ya mechi zote zitakazochezwa leo hii ni kama ifuatavyo;
21:45 Arsenal – Barcelona
21:45 Juventus – Bayern Munich

No comments: