Tuesday 23 February 2016

WADAU JITOKEZENI KUTUNZA VIPAJI VYA VIJANA WETU.



Hawa ni watoto wa timu ya Flammingo Academy Dar es salaam ambao ni wapigaji kabumbu kisawasawa lakini hatujui mwisho wake.

Wadau jitokezeni kudhamini vipaji wa watoto wetu hawa ndio tegemeo la taifa sasa na baadae katika soka letu nchini.

Wakwanza kutoka kushoto THABIT MOHAMED anacheza namba 7(winga) wa pili ABDALAH FAHARI 8(kiungo mchezeshaji na mshambuliaji)

No comments: