Saturday 12 March 2016

IPO SIKU NITAKUA GOLIA NAMBARI MOJA TAIFA STAR.

KAMPENI "FICHUA VIPAJI"
Golia namba moja wa timu ya New Flamingo ya Dar es Salaam Hanci Nestori akiwa katika furaha ANASEMA "napenda taifa langu Tanzania lisifike zaidi kwa soka na napenda wakati linasifika mimi ndio niwe golia wa kwanza katika timu ya taifa,naipenda sana nchi yangu tutazameni na sisi tunauwezo tutunzeni tuwaoneshe!!
Kiwango cha golia huyu ni cha kuridhisha na kama atatunzwa kweli taifa litajivunia.

No comments: