Sunday 15 May 2016

BARCELONA YATETEA TAJI LAKE LA UBINGWA WA LA LIGA UHISPANIA

Barcelona yamaliza msimu wa 2015-2016 kwa ushindi na kutawaza bingwa wa La Liga nchini Uhispania
Barcelona players celebrate at the final whistle after their 3-0 win over Granada on Saturday secured another La Liga crownSuarez celebrates with his team-mates after scoring Barcelona's first goal at Estadio Nuevo Los Carmenes on Saturday

Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka ya La Liga nchini UhsipaniaBarcelona walifanikiwa kuhifadhi taji lao baada ya kumaliza msimu wa 2015-2016 kwa ushindi.


Barcelona walisafiri ugenini kuchuana na Granada katika mechi yao ya mwisho ambayo ilibainisha bingwa wa La Liga.
Luis Enrique's side were crowned champions on Saturday but have been forced to wait before picking up the league trophy

Magoli matatu yaliyofungwa na mshambuliaji Luis Suarez yaliweza kuiletea Barcelona ushindi wa 3-0 dhidi ya Granada na kumaliza katika nafasi ya kwanza kwenye ligi.


Kufuatia matokeo hayo Barcelona sasa imeweza kushinda taji la La Liga kwa mara ya 24.


Luis Suarez naye ameweza kumaliza vyema msimu huu na kuwa mfungaji bora mwenye magoli 40 kwenye La Liga.

No comments: