Thursday 12 May 2016

WASIFU WA MCHEZAJI




Tiote Sefu ni mchezaji anaekipiga katika klabu ya Miemben city (Daraja la pili taifa) ni mchezaji aliyebahatika kupata mashabiki wengi kwa ubora wa uchezaji wake anapokuauwanjani.

Jina kamili : Seif Said Seif (Tiote Sefu).

Tarehe ya kuzaliwa : 03/02 /1999, (Umri, 17).

Asili         : Mzanzibari.

Klabu      : Miemben city.

Nafasi     : Kiungo Mshambuliaji (Striker)

Uwezo    :Anashuti  nzito na ni mchezaji mashuhuri kwa mipira ya vichwa.


Lengo     : Kulitambulisha taifa katika mataifa ya nje ya nchi.

No comments: