Katika kile kilichokua kinasubiriwa na wengi katika timu ya Morroco kutaja kikosi cha mapambano hatimae leo hii kocha mpya wa kikosi hicho cha taifa Herve Renard amekitaja kikosi cha hicho kitakachochuana Cape Verde, kusaka tiketi ya mataifa Africa 2017.
Renard,aliyekiwezesha kikosi cha Ivory Coast,kutwaa ubingwa wa Africa mwaka 2015,ikiwa ni miaka mitatu baada ya kuiwezesha Zambia, nao kutwaa ubingwa huo , amechukua mikoba iliyoachwa na Badou Zaki.
Kikosi hicho kamili ni makipa,Mounir El Kajoui (Numancia), Yassine Bounou (Real Zaragoza), Abdelali M'Hamdi (RSB Berkane)
Safu ya Ulinzi ni Mehdi Benatia (Bayern Munich), El Kaoutari (Reims,), Issam Chebake (Le Havre, , Achraf Hakimi (Real Madrid B,), Nabil Dirar (Monaco), Marouane Da Costa (Olympiakos,), Mohamed Oulhaj (Raja Casablanca), Achraf Lazaar (Palermo), Hamza Mendyl (Lille), Romain Saïss (Angers,)
Viungo ,Karim El Ahmadi (Feyenoord), Mounir Obbadi (Lille), Younes Belhanda (Schalke,), Abdelaziz Barrada (Marseille), Omar El Kaddouri (Napoli)Fayçal Fajr (Deportivo La Coruna), Youssef Aït Bennasser (Nancy), Nordin Amrabat (Watford), Mehdi Carcela-González (Benfica), Hakim Ziyech (Twente,), Mbark Boussoufa (Gent,), Walid El Karti (WAC)
Khalid Boutaïb (GFC Ajaccio,), Oussama Tannane (Saint-Etienne), Badi Aouk (HUSA), Morad Batna (FUS), Yacine Bamou (Nantes), Youssef El Arabi (Granada) Youssef Naciri (Malaga,), Abdelghani Mouaoui (IRT), AbderRazak Hamadellah (El Jaish)
No comments:
Post a Comment