Saturday 26 March 2016

TANZANIA SASA JUU.

Alievaa fulana ya njano wa mbele  ni Adi Yussuf ambae ni mtanzania (asili mzanzibar) anayecheza soka la kulipwa katika klabu ya daraja la pili Uingereza kwenye klabu ya Mansfield Town. Adi pia amekulia katika klabu ya Leicester City ila kwa sasa yupo Tanzania kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Chad wa kuwania kufuzu michuano AFCON 2017 Gabon.

No comments: