Saturday 26 March 2016

Ligi ya watoto chini ya miaka 13 Wilaya ya Chake Chake yarindima kwa kishindo katika uwanja wa Tibirinzi. Matokeo ya jana Ijumuaa


KAMPENI "FICHUA VIPAJI"


Zaire 2 - Super Children 1 saa 2:00 asubuhi.

Muharitani 1 -Tibirinzi 0     saa 3:00 asubuhi

Custom City 3- Star Soccer 0 saa 4:00 asubuhi.

Hii ni tumu ya Muharitani City ni moja wapo ya timu zinazoshindana katika ligi ya  watoto chini ya miaka 13 Wilaya ya Chake Chake Pemba , ni timu ya kupigiwa mfano kwa watoto ambayo inavipaji vya kuaminika, kama vitalindwa na kuenziwa mahodari watatoka hapahapa nchini kwetu badala ya kutegemea nje.

Na hii ni timu ya Star soccer ni moja katika ya timu zinazotapitaka katika visiwa vya Pemba inawachezaji mahiri na mafunzi kwa kiwango chao.




Nayo hii ni Small Minazini ipo chakechake Pemba nao ni wamoja kati ya timu zinazoshirikia katika Ligi ya watoto chini ya miaka 13 Wilaya ya Chake Chake Pemba.




Hiki ni kikosi cha Custorm City ni watoto wenye umri wa chini ya miaka 13 visiwani pemba.Camera ya SALMA SPORT'S MEDIA iliwaona na kuwamurika,hata uchezaji wao ulishihudiwa, serikali na wadau wa michezo ndani na nje ya nchi vipaji ndio hivi.

No comments: