Thursday 26 May 2016

TIMU NNE KWA PEMBA ZIMESHAJULIKANA, NA UNGUJA MOJA TAYARI.

Chipukizi, African Kivumbi, Jamhuri na Mwenge tayari zimeshatinga hatua ya nne bora katika ligi kuu ya Zanzibar kwa Kanda ya Pemba licha ya kubakia kwa mchezo mmoja kwa timu hizo kwani hakuna timu yoyote itakayozifikia kwa alama timu hizo,huku wakizisubiri timu nne 4 kutoka Unguja, timu moja tayari ishajulikana kwa Unguja ambayo ni JKU. Wananinga hao wataungana na timu tatu ambazo zinasubiriwa hivi sasa kutoka Unguja  ili ziungane kukamilisha timu nane 8 na kucheza ligi kuu kwa ajili ya kumtafuta bingwa wa ligi kuu ya Zanzibar.


S/N
TIMU
PL
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
CHIPUKIZI
12
9
1
2
15
5
10
28
2
AFRICAN KIVUMBI
12
7
3
2
28
12
16
25
3
JAMHURI
12
8
1
3
23
10
13
25
4
MWENGE
12
7
2
3
16
6
10
23
5
OKAPI
12
5
4
3
23
20
3
19
6
KIZIMBANI
11
5
1
5
20
14
6
16
7
FUFUNI FC
11
4
4
3
22
19
3
16
8
Y/ISLANDERS
12
5
1
6
17
21
-4
16
9
SHABA
12
4
4
4
12
21
-9
16
10
SHARP VICTOR
12
4
3
5
20
16
4
15
11
HARD ROCK
12
4
2
6
11
14
-3
14
12
DOGO MORO
12
3
2
7
11
19
-8
11
13
AL-AZIR
12
1
1
9
12
30
-8
5
14
MADUNGU
12
-
2
10
4
24
-20
2

No comments: