Thursday 31 March 2016

KAMPENI "FICHUA VIPAJI" PEMBA



Small Mabaoni-Junior Wilaya ya Chake Chake ni timu moja inayojitahidi sana  inapokua uwanjani, tatizo linalijitokea na uhaba wa vitendea kazi kama mipira,viatu nk.


Wadau wa soka na wadhamini jitokezeni kuokoa Jahazi vijana wapo wengi tena wanamalengo ya juu zaidi lakini wengi kama hawa yamefifia malengo yao sababu nyinyi.

No comments: