Tuesday 23 February 2016



ABOUT ME:

Jina langu kamili ni Salma Hassan Ali,ni mzanzibar na ni mwanamichezo kwa kipindi kisichopungua miaka mitatu sasa.

Elimu yangu mpaka mwaka huu wa 2016 ni stashahada ya Uwandishi wa Habari niliyoipata katika chuo cha Uwandishi wa Habari Zaznibar (ZJMMC).

Kwa mawasiliano ni +255 779 518 500 / +255 772 997 018 / +255 678  043 8 12 emali : salmahassan040@gmail.com / salminjsalmin@gamil.com.

Salma Ally 
salmasportmedia.ucoz.com

No comments: