
Federer mwenye miaka 35 akiwa nafasi ya tatu kwa ubora
duniani, mwezi Januari mwaka huu alishindwa kufanya vizuri katika Michuano ya
wazi ya Australia katika hatua ya nusu fainali dhidi ya Novak Djokovic.
Federer alishinda taji la mashindano ya Key Biscayne mwaka
2005 na 2006, na mwisho alicheza mwaka 2014 na kufikia hatua ya robo fainali.
BBC.
No comments:
Post a Comment