Tuesday 8 March 2016

"KAMPENI YA FICHUA VIPAJI"



OTHMAN OSCAR mchezaji wa timu ya  Jamhuri  ya Makunduchi  daraja la pili taifa anaechezea nambari  saba (7):- soka la Zenji changamoto  ni  nyingi sana wachezaji wenzangu tujikaze kuzishinda mpaka tufike tunapopataka.

Pia tunatakiwa tuwe na  mazoea na  wachezaji wakubwa watufahamishe mbinu mbalimbali zilizowafanya wakatoka kisoka mpaka leo hii kutajika, naamini wanamengi sana ya kutwambia, nanyi wakubwa wetu basi kuweni karibu yetu tufaidi ya mafanikio.


EWE MCHEZAJI MWENYE MALENGO JITIHADA NDIO MAFANIKIO YAKO

No comments: