Tuesday 8 March 2016

"KAMPENI YA FICHUA VIPAJI"



Kikosi cha timu ya New Flamingo Academy Dar es salaam kuanzia miaka mitano (5)  mpaka kumi na nne (14).

Timu hii inavipaji vingi sana katika kila pembe ya fani kwa mfano kuna Hamisi Iddi mchezaji hatari kwa shuti nzito, kuna Fadhil  Abdalay huyu ni maarufu kwa magoli na ushambuliaji na wengineo.

Changamoto kubwa mbele yao ni vifaa vya mazoezi kwani mpaka hivi sasa wanampira mmoja tu wanaoutumiwa kwa mechi na mazoezi.

Wanawaomba wadau wa soka nchini kujitolea kuwadhamini ili nao timu yao iwekubwa na kutajika nchini.
Mawasilano yao +255657295992

No comments: