Friday 6 May 2016

JAMHURI YAJITANAFASI KILELENI MWA LIGI KUUU ZANZIBAR.

Na Is-haqa Rubea -Pemba.

Timu ya Jamhuri ya Wete Pemba imeendeleza ubabe katika ligi kuu ya Zanzubar kanda ya Pemba baada ya jana kuiadhibu timu ya Dogomoro kwa jumla ya mabao 3-0 mchezo ambao ulichezwa kwenye uwanja wa Gombani.
No
TIMU
PL
W
D
L
GF
GA
GD
Pts
1.
JAMHURI
9
6
1
2
17
6
11
19
2.
A/KIVUMBI
7
4
2
1
15
7
8
14
3.
MWENGE
8
4
2
2
10
5
5
14
4.
CHIPUKIZI
7
4
1
2
7
4
3
13
5.
SHARP VICTOR
8
3
3
2
17
8
9
12
6.
FSC
7
3
3
1
13
9
4
12
7.
OKAPI
7
3
2
 2
14
13
1
11
8.
DOGOMORO
9
3
2
4
9
13
-`4
11
9.
KIZIMBANI
8
3
1
4
11
11
-
10
10.
Y.ISLANDERS
7
3
-
4
11
13
-2
9
11.
SHABA
7
2
3
2
10
14
-4
9
12.
HARD ROCK
7
2
1
4
5
8
-3
7
13.
ALJAZIRA
8
1
1
6
10
24
-14
4
14
MADUNGU
7
-
1
4
3
11
-8
1











Jamhuri ilijipatia bao la kwanza kupipitia kwa mchezaji wake Abdul-latif Omar katika dakika ya 15 ya mchezo,huku Mwalim Moh`d akiweka la pili kwenye dakika ya 25 na Ammy Khamis akitumbukiza wavuni bao la tatu.

Kwa ushindi huo timu ya Jamhuri imeendelea kukaa kileleni mwa ligi kwa kufikisha alama 19 na kuziacha kwa alama 5 timu za African Kivumbi na Mwenge kwa alama 5.

Ufuatao ni msimamo kamili wa ligi kuu ya Zanzibar Kanda ya Pemba baada ya baadhi ya timu kucheza michezo 9, nyengine 8 na nyingine michezo 7:-



No comments: