
Mchezaji kutoka Uganda
Kasulya Davis ndiye aliyekuwa nyota wa mchezo huo kwa kunusa nyavu mara tatu.
Goli hilo jingine
lilitiwa kimiani na mshambuliaji Diarra kutoka Mali.
APR, ambayo ni timu ya
majeshi, bado inaongoza ligi kwa kuizidi Rayon Sports kwa alama 1 lakini Rayon
Sports ina mechi ya kiporo.
No comments:
Post a Comment