Sunday 29 May 2016

HATIMAE YANGA KUFUNGA KAMBI NDANI YA UTURUKI.



Kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuweka kambi nchini Uturuki kabla ya kuvaana na MO Bejaia ya Algeria katika mchezo wa kwanza wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika Juni 17, mwaka huu.

Kamati ya Mashindano ya klabu hiyo pamoja na Kocha Mkuu, Hans van der Pluijm wameamua timu hiyo iweke kambi nje ya nchi kupata uzoefu kabla ya mchezo huo.

No comments: