Tuesday 10 May 2016

WASIFU WA MCHEZAJI.



Ni mchezaji anaekipiga katika klabu ya Chwaka visiwani Zanzibar ambayo kwa sasa imepanda ligi kuu ya Zanzibar kanda ya Unguja msimu wa mwaka 2016-2017. Ni mshambuliaji hatari katika klabu hiyo.

 

Jina      : Abal kassim Suleiman

Tarehe ya kuzaliwa : 23/10/1995

Klabu      : Chwaka.

Nafasi     : Mshambuliaji (Striker)

Michezo 18, kafunga mabao 17.

No comments: