Wednesday 18 May 2016

WASIFU WA MCHEZAJI



Juma Thausi Masinde  ni mchezaji  ambae ameanza kucheza timu ya Nyamanga fc baada ya hapo akaenda Kenya  na akacheza Academy moja inaitwa freempongi ambayo ipo Kisumu, mwaka jana alirudi mwanza akafikia timu ya Pamba iliyokuwa daraja la pili mwaka 2014.

Pia  amechezea taifa stars maboresho akiwakilisha mkoa wa kagera.

Anacheza nafasi ya Kiungo , (Midfielder).

Na sasa yupo timu ya Nzaza ya kagera inayoshiriki ligi ya kanda ngazi ya Mkoa.

Masinde amezaliwa tarehe  13/1/1996, katika Mkoa wa Mwanza.

Ana  malengo ya kucheza soka la kulipwa na timu ya taifa.

 

No comments: