Sunday 17 April 2016

Real Madrid yaendeleza msururu wa ushindi La Liga


Real Madrid yainyeshea Getafe mvua ya magoli mbele ya mashabiki wake.

 Real Madrid yaendeleza msururu wa ushindi La Liga

Timu ya Real Madrid ilisafiri ugenini kuenda kupambana na Getafe kwenye mechi ya ligi kuu ya soka ya La Liga nchini Uhispania.

 

Real Madrid iliendeleza msururu wa ushindi kwa kuinyeshea mvua ya magoli Getafe na kuondoka na pointi 3.

 

Ushindi huo mnene wa 5-1 wa Real Madrid uliletwa kupitia magoli yaliyofungwa na Benzema, Bale, Isco, Rodriguez na Ronaldo.

No comments: