Tuesday 12 April 2016

UFUNGUZI RASMI WA UWANJA WA BEŞIKTAŞ UTURUKI


Rais Recep Tayyip Erdoğan aongoza hafla ya ufunguzi wa uwanja wa Vodafone wa timu ya Beşiktaş.

Katika ufunguzi huo rais Erdoğan alifahamisha kuwa haki ya Beşiktaş kuwa na uwanja wake wa kipekee wa kufanya mazoeozi na shughuli zingine imekawia sana.


Aidha Erdoğan alifanya mkwaju wa penalti wa kwanza kisha baadaye wakarushiana mpira pamoja na waziri mkuu Ahmet Davutoğlu,rais wa zamani Abdullah Gul ​na kiongozi wa Beşiktaş Fikret ​ Orman.

No comments: