Mchezaji bora duniani wa soka
Lionel Messi, ameteuliwa kuwa balozi wa kimataifa wa kuwakilisha kampuni
yaHuawei.
Msimamizi
mkuu wa Huawei tawi la Ulaya ya Magharibi Walter Ji, alitoa maelezo na kuarifu
kumchagua Messi kuwa balozi wao kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuhamasisha
ulimwengu.
Kulingana
na maelezo ya Huawei, Messi anaonekana kuwiana na sera za kampuni hiyo kuanzia
historia yake hadi kufikia hatua ya kupata mafanikio makubwa.
Huawei
ilisisitiza umuhimu wa kutumia wachezaji a ili kufanikisha malengo yake, na
kukumbushia kwamba mwaka jana iliwahi kuwekeza kwa wachezaji kama Robert
Lewandowski na Alexis Sanchez.
No comments:
Post a Comment