Tuesday 26 April 2016

MICHUANO YA RIADHA YA AFRIKA MASHARIKI NA YA KATI KUFANYIKA TANZANIA.

Michuano ya riadha ya Afrika Mashariki na ya Kati kufanyika Tanzania

Mashindano baina ya wanariadha chini ya miaka 19 ya EAAR yanayoshirikisha nchi za Afrika Mashariki na Afrika ya kati zatarajiwa kuanza tarehe 29 hadi 30 mwezi Aprili.

Michezo hiyo itafanyika katika uwanja wa 6 square jijini Dar es Salaam.


Takriban nchi 9 ndizo zitashiriki katika michuano hiyo.


Wanariadha chini ya miaka 19 kutoka Kenya,Ethiopia,Eritrea,Uganda na somalia wataenda Tanzania kuwakilisha nchi zao katika michuano hiyo.

No comments: