Saturday 16 April 2016

Wapinzani wa nusu fainali kwenye ligi za UEFA wabainika.

Wapinzani wa nusu fainali kwenye ligi za UEFA wabainika


Mchakato wa kubainisha wapinzani wa nusu fainali kwenye ligi za UEFA wafanyakia


Baada ya timu 8 kusonga mbele katika ligi za UEFA, wapinzani watakaochuana kwenye nusu fainali wamebainishwa kwenye mchakato wa draw uliofanyika.


Kulingana na draw ya ligi kuu ya UEFA Champions League, wapinzani watakaochuana ni kama ifuatavyo;


Manchester City – Real Madrid


Atletico Madrid – Bayern Munich


Na katika draw ya ligi ya UEFA Europa League, wapinzani watakaochuana ni kama ifuatavyo;


Villarreal – Liverpool


Shakhtar Donetsk – Sevilla

No comments: