Wednesday 30 March 2016

KAMPENI "FICHUA VIPAJI" YATINGA KATIKA VISIWA VYA MARASHI YA KARAFU

Hii ni timu ya Kilimani City ya Pondeani-Junior Wilaya ya Chake Chake ni  moja kati ya timu zinazofanya vizuri katika kiwango hicho.

Kampeni ya “FICHUA VIPAJI” imejitanua zaidi mpaka katika kona za visiwa vya Pemba mabapo imewaona vijana hawa wakifanya jitihada  bila ya kuvunjika moyo na bado wanaendelea kusakata kabumbu huku wakiwa na matumani tele katika soka.

Wengi miongoni mwa uwaonao lengo lao kubwa ni kusifika na kulikuza taifa kisoka ndani na nje ya nchini.

Sualli kwa wadau wahisani na serikali kwa ujumla!  munafatilia malengo ya vijana hawa ili kuyafikisha ndipo?  Tunaamini ufatiliaji huo upo lakini kutokana na wadau mbalimbali tuliyobahatika kukutana nao wanaomba kasi ya kuwafikia vijana hawa iongezwe zaidi ya hapo kabla ya kuwafikia ambapo watakua tayari wamshakata tamaa.   

No comments: