Monday 28 March 2016

KAMPENI "FICHUA VIPAJI"



Waamuzi wa mashinano ya mpira wa miguu kwa vijana chini ya miaka 13 wilaya ya chakechake Pemba wakiwa tayari kuchezesha michezo mbalimbali ya ligi hiyo, inayofanyika  katika uwanja wa Tibirinzi.

Uchezeshaji wao ni wa kuridhisha kwa kila atazamae,wako wapi wahisani,wakowapi wadau wa michezo vipaji hivyo kama vinavyoonekana,kama kweli vipaji hivi vitalindwa na kuenziwe jenga picha miaka 10 mbele nchi yetu itakua wapi?

No comments: