Sunday 24 April 2016

REAL MADRID YAPONYOKA NA POINTI 3 UGENINI.

Gareth Bale of Real Madrid scores his team's 3rd goal during the La Liga match between Rayo Vallecano and Real Madrid at Estadio de Vallecas on April 23, 2016 in Madrid, Spain.

Real Madrid yaicharaza Rayo Vallecano 3-2 kwenye mechi ya La Liga.

Timu ya Real Madrid ilisafiri ugenini kutoana jasho na Rayo Vallecano kwenye mechi ya ligi kuu ya soka ya La Liga nchini Uhispania.


Wenyeji Rayo Vallecano walianza vyema mechi hiyo na kutangulia kupata bao 2 zilizofungwa na Embarda katika dakika ya 7 na Miku katika dakika ya 14.

 
Licha ya kuonyesha mchezo mzuri, Rayo Vallecano walishindwa kukizuia kikosi cha mashambulizi cha Real Madrid na kukombolewa magoli yote na kuongezwa la tatu.Gareth Bale keeps Real Madrid La Liga title hopes alive with two goals in win at Rayo Vallecano – in pictures
 


Gareth Bale aliifungia Real Madrid magoli mawili huku Lucas Vazquez akifunga moja na kuipa timu ya ushindi wa 3-2.

No comments: